Home Kitaifa ZAIDI YA KAMPUNI 22 ZAKUTANA KUJADILI BIASHARA YA HEWA UKAA BILA KUATHIRI...

ZAIDI YA KAMPUNI 22 ZAKUTANA KUJADILI BIASHARA YA HEWA UKAA BILA KUATHIRI MAZINGIRA

Na Magrethy Katengu

Tanzania ni miongoni mwa nchi Mdau Duniani nayokabiliana na Mabadiliko ya tabia nchi kupitia Wizara husika ya Utalii na Maliasili pamoja kwa kudhibiti uharibifu wa shughuli za kibinadamu ikiwemo katika misitu na kuongeza ubunifu wa kukuza uwekezaji wenye tija ikiwemo uzalishaji umeme wa asili kwa kutumia makaa ya mawe.na kudhibiti hewa ukaa .

Akizungumza Leo Jijini Dar es salaam wakati akifungua mkutano wa mabadilko ya Waziri wa Maliasili na Utalii Angelina Kairuki amesema sasa Duniani biashara ya hewa ya ukaa lakini tabaka la anga limekuwa likichafuliwa na hewa chafu ya carboni hivyo tunapanda miti ili kukabiliana na uchafuzi wa hewa kwa inaemebadilika kila wanakabiliana katika mabadiliko hayo duniani huku kuchukua hatua za kiserikali katika kuendeleza misitu nchini hivyo kupitia utalii na maliasili wamejipanga vyema ili kudhibiti madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia ya nchi ambayo inatokana na hewa chafu.

Kimsingi ukiangalia hali ya kimataifa kwa sasa imejikita zaidi katika maeneno ya viwanda hususani viwanda vikubwa ambavyo vinatumia makaa ya mawe kwa kiasi kikubwa hivyo inakubalika duniani kupitia mikataba ya paris kupitia ibara ya sita kipengele cha 4 kuona namna gani nchi inaweza kukabiliana na suala hilo na changamoto ya hewa hiyo.

Kutokana na biashara hiyo kuanza serikali imetoa pongezi kwa wananchi kwa upandaji wa miti mingi zaidi itaweza kupunguza hewa chafu hivyo sekta hiyo imetoa rai kwa kushirikiana na makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango kwa kuleta maendeleo na uelewa kwa wantazania na wengine wote katika kukabiliana na changamoto ambazo zimejitokeza katika mabadiliko hayo ikiwemo upandaji wa miti.” amesema waziri Kairuki

Kwa upande wake Mdau wa mazingira Cosmas Tungalaza amesema dhamira ya mkutano huo ni kuweza kuonesha athari za madaliko ya Tabia ya nchi pamoja na fursa ambazo zinatokana na madaliliko hayo kama kukitokea mafuriko
na ukame kutokana na majira tofauti toufauti ikiwemo nyakati za kilimo huku mkulima akiwa hafahamu wakati muafaka wa kulima mazao kutokana na tabia nchi kubadilika badilika

Huku zaidi wamejikita katika mabaliko hayo kama unavofahamu kwa ujumla inahusisha mabadiliko hayo chini ya asilimia tatu lakini pia kuna miradi kama hii inatoa fursa katika kuazisha miradi mbalimbali itokanayo na sekta ya misitu ambayo inatoa mwanga wa jua katika kuongeza hali ya hewa na kuleta mabadiliko katika kuchakata bidhaa zitokanazo na misitu asilia.

Hata hivyo mkurugenzi kutoka kampuni ya Seltech Tanzania company Haesung kutokae nchini Korea akiwa tayari amewekeza nchini Kenya Nairobi hivyo amesema kutokana na teknolojia waliyonayo wameona Tanzania kuna fursa hivyo wameshakaribishwa na Rais Mstaafu Mhe Jakaya Mrisho Kikwete kuja kuwekeza na tayari amepewa eneo la hekari 150 wanakuja kuwekeza hivi karibuni Chalinze kujenga Kiwanda cha Kuzalisha Vifaa vitakavyosaidia umeme wa sola unaotumika kwa wakulima na watawafundisha teknolojia walinayo kwa undani kwakuwa wanaushirikiano na Tanzania kwa muda Mrefu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!