Home Kitaifa WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2023. ameshiriki maadhimisho ya siku ya chakula duniani na miaka 78 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) , yaliyofanyika makao makuu ya Shirika hilo Rome, Italia

Katika Picha ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokelewa na kupiga picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa FAO Dkt. Qu Dongyu alipowasili kwenye makao makuu wa shirika hilo.

Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!