Home Kitaifa WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO WA KAZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO WA KAZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!