Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 03, 2023 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Tamasha ‘BibiTiti Festival’ linalofanyika katika viwanja vya Ujamaa, Ikwiriri mkoani Pwani.
pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu amegawa magari 22 kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri za Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara.