Home Kitaifa WASANII KUTOKA MATAIFA 8 KULIPAMBA TAMASHA LA PASAKA

WASANII KUTOKA MATAIFA 8 KULIPAMBA TAMASHA LA PASAKA

Kuelekea Tamasha la Pasaka mwaka 2024 Alex Msama Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion waandaaji wa Tamasha hilo amethibitisha waimbaji wa muziki wa injili kutoka mataifa zaidi ya 8 watakuwepo kwenye Tamasha la Pasaka la mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari Alex Msama kuwa maandalizi makubwa kuelekea Tamasha hilo yamekwisha fanyika kwa asilimia kubwa na watu wakae mkao wa kula kwani Tamasha la mwaka huu litakuwa na zuri na lenye shangwe kubwa sana kwa wakazi wa mkoa wa Dar es salaam.

Tamasha la mwaka huu litafanyika siku ya Jumapili ya Pasaka, huku kauli mbiu ikiwa ni ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MCHAPA KAZI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!