Home Makala WANAUME WANAOGOPA KUNITONGOZA NA KUNIOA KISA NINA ELIMU KUBWA.

WANAUME WANAOGOPA KUNITONGOZA NA KUNIOA KISA NINA ELIMU KUBWA.

Jina langu ni Zaiylissa kutokea Pwani nchini Kenya, ni mwanamke msomi nikiwa na shahada ya uzamili (masters) katika uchumi, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa kama Mkuu wa Kitengo, nimefanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 15 kwa sasa.

Naweza kusema katika maisha yangu upande wa elimu na kazi sijapitia changamoto nyingi kama zile nilizopitia kwa upande wa mahusiano, huku nimezungushwa sana hadi nafikisha umri wa miaka 42 nilikuwa sijaolewa.

Kila mwanaume niliyekuwa naye katika mahusiano nikimwambia umefika wakati sasa tufunge ndoa au akajitambulishe kwa wazazi wangu alikuwa anatafuta  sababu ya kukimbia.

Baadhi ya watu wanasema wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wasomi kutokana  na kuona ni vigumu kuwasimamia kitu ambacho naona hiyo ni dhana potofu tu katika jamii yetu. 

Mimi kama mke nina wajibu wa kumtii na kumjali mume wangu, siwezi kuwa na kiburi au kufanya jeuri kisa nimesoma au nimemzidi elimu, hapana!. Hata mume wangu wa sasa ni shahidi katika hilo na mwenyewe anasema hakutarajia kama ni mtu wa hivyo kwani hata mwanzo tulivyofunga ndoa alikuwa na aina fulani ya wasiwasi.

Nakumbuka baada ya mahusiano yangu kama ya tano kuvunjika, niliamua kutafuta njia mbadala, hiyo ni baada ya kuona nimefikisha miaka 39 bila kuolewa jambo ambalo lilifanya hata nyumbani kwetu kuanza kuniuliza maswali.

Katika kutafuta wapenzi waaminifu katika mtandao, nilijikuta nimeingia kwenye tovuti, www.kiwangadoctors.com hapa nilipata kufahamu kuwa anaweza kuwasaidia wanawake kupata waume kwa muda mfupi tu na kufunga nao ndoa.

Hatimaye nilichukua namba yake ambayo ni +254 769404965 na kuwasiliana naye mara moja, Kiwanga Doctors aliniambia licha ya umri wangu wa miaka 38 nisiwe na hofu kwani nitapata mume tena mwenye viwango.

Nakumbuka nilingojea kwa hamu kuona hilo likitimia katika maisha yangu maana ilifika hatua hadi naogopa kwenda nyumbani kusalimia kwa kuhisi wataanza kuniuliza kwanini hadi sasa sijaolewa.

Jioni moja nikiwa natokea kazini niliita usafiri mtandao uje kunichukua, kufika yule dereva  alikuwa ni rafiki yangu wa miaka mingi ambaye tulikuwa tumeshibana kipindi tunasoma sekondari.

Yule kaka alifurahi sana kukutana na mimi na kuniambia kuna wakati walitafuta mawasiliano yangu bila mafanikio, tulizungumza mengi na akanipeleka hadi nyumbani na kumuonyesha ninapoishi.  Tulibadilishana namba za simu na akaniahidi kwamba wikiendi atakuja kunitembelea.

Wikiendi iliyofuatia alikuja nyumbani tukakaa na kuzungumza, alinieleza kwamba kuna wakati alioa ila alikuja kuachana na mkewe miaka mitatu iliyopita na sasa hana mtu. Sikutaka kujirahisisha kwake, tuliendelea kuwasiliana na kutembeleana hadi pale yeye mwenyewe aliponitamkia kuwa ananipenda na anataka kunioa.

Nilifurahi sana kusikia hivyo, mara moja tulianza michakato ya kutambulishana kwa wazazi kwa pande zote mbili na hatimaye tulifunga ndoa na sasa tumejaliwa kupata mtoto mmoja.

Namshukuru sana Kiwanga Doctors, mtaalamu huyo ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi na kuwa na mvuto wa kimapenzi.

Mwisho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!