Home Kitaifa WAFANYABIASHARA WATAKAOHODHI CHAKULA KUSHTAKIWA KWA KOSA LA UHUJUMU UCHUMI ZANZIBAR

WAFANYABIASHARA WATAKAOHODHI CHAKULA KUSHTAKIWA KWA KOSA LA UHUJUMU UCHUMI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa kwa sasa hali ya chakula ni nzuri na ya kutosha hivyo Serikali itachukua hatua kuhakikisha inawapa unafuu wananchi kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, aidha Rais Dk. Mwinyi ameongezea na kusema wafanyabiashara ambao watahodhi vyakula watashitakiwa kwa kosa la Uhujumu wa Uchumi.

Rais Dk.Mwinyi aliyasema hayo leo katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Ikulu Zanzibar leo tarehe 28 Februari , 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!