Mwenyekiti wa OJADACT Bwana Edwin Soko amewataka waandishi wa habari kujitokeza kwenye kutoa maoni kuhusu marejeo na mapitio ya sera ya habari na utangazaji ya Mwaka 2003 ili kuwa na sera bora inayoendana na mazingira ya sasa
Ameongeza kuwa waandishi wanaweza kutumia majukwaa ya Taasisi za kihabari kuwasilisha maoni hayo ili yaweze kuwasilishwa wizarani kwa utekelezaji.