Home Burudani TAMASHA LA 13 LA MUZIKI LA CIGOGO LAFAANA

TAMASHA LA 13 LA MUZIKI LA CIGOGO LAFAANA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Hassan Abbasi akikagua vikundi vya ngoma na kupita kwenye mabanda ya maonesho wakati alipomwakilisha Waziri Mohammed Mchengerwa kufunga Tamasha la 13 la Muziki la Cigogo, Chamwino, Dodoma leo Julai 24, 2022.

Tamasha hilo limehudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi ikiwemo wawakilishi wa taasisi ya Chamwino Connect USA kutoka Seattle, Marekani!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!