PICHA TOFAUTI TOFAUTI : Baadhi ya Washindi wa TV na Friji , Kampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense ( wiki ya saba ) wakikabidhiwa zawadi zao , wameibuka washindi kwa kutumia Tigo Pesa super APP kufanya miamala mbalimbali , zoezi hili limefanyika mapema leo hii Julai 12 , 2024 katika duka la Hisense Mlimani City Jijini Dar Es Salaam.
Fredrick Makota mmoja kati ya Washindi wa Milioni Moja Kampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense ( wiki ya saba ) , akikabidhiwa mfano wa Hundi na Erick Gerald kutoka PariMatch , Bwn. Fredrick ameshinda pesa hii kwa kubashiri Mechi na PariMatch kupitia Tigo Pesa Super App, katikati ni Meneja Biashara Tigo Pesa Bw. Fabian Felician na Mwakilishi kutoka Hisense.
Na Adery Masta.
Ili kuingia kwenye droo na kupata nafasi ya kujishindia tiketi au zawadi ya fedha taslimu TZS 1,000,000, na Vifaa vya Hisense TV na Friji washiriki wanapaswa kujiandikisha na Parimatch, kuweka pesa zao kupitia Tigo Pesa kisha kuweka dau ( betting ) kwenye mechi yoyote ya mpira wa miguu na Parimatch. Kadiri dau zinavyowekwa, ndivyo nafasi zinavyoongezeka ya kushinda TZS 1,000,000 au tiketi ya safari na mechi yenye malipo kamili ya kwenda kutazama mechi za Kombe la Euro moja kwa moja nchini Ujerumani .
Kwa taarifa zaidi tembelea mitandao ya kijamii ya Tigo , Hisense na Pari Match.