Home Kitaifa UJENZI WA VITUO VYA AFYA SABA VYA BAKWATA MWANZA WAFIKIA PAZURI

UJENZI WA VITUO VYA AFYA SABA VYA BAKWATA MWANZA WAFIKIA PAZURI

Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BWAKWATA) Mkoa wa Mwanza likiongozwa chini ya uongozi wa Sheikh wa mkoa huo Hassan Kabeke kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Oktoba 30, 2022 hadi Desemba 31 mwaka jana umefanikiwa kujenga vituo vya afya saba katika kila wilaya ya mkoa kwa sadaka za waislam na wasiokuwa waislam.

Baraza kuu la Waislam mkoa wa Mwanza linaendelea kuwaomba watanzania kutoa michango kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa vituo vya afya saba ambavyo vinajengwa katika halmashauri za mkoa huo chini ya uongozi wa Sheikh wa mkoa Hassan Kabeke, kukiwa na kauli mbiyu isemayo; Bakwata Mwanza jenga msikiti.

Sheikh wa mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke amesema uongozi wa Baraza kuu la Waislamu Tanzania ( Bakwata) unaomba watanzania kuendelea kuchangia ujenzi wa vituo vya afya saba kupitia m.pesa lipa namba, 543032 Bakwata Mwanza jenga hospital au kupitia benk ya CRDB ACC, 0150658188600 Bakwata harambee.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!