Home Kitaifa UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA, UMETUNUKIWA TUZO

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA, UMETUNUKIWA TUZO

Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, umetunukiwa tuzo katika maonesho ya Kumi na Tano ya 15 ya Sanaa (15th International Arts and Crafts Expo) yaliyofanyika Agoosti 18-20, 2022 Jijini Abuja. Katika maonyesho hayo Tanzania imeshinda tuzo ya Best Exhibitor in E. Marketing.

Aidha, maonyesho hayo yalihusu Utalii, Uwekezaji na Bidhaa mbalimbali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!