Home Kitaifa TIGO WAWAKUMBUKA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KARATU

TIGO WAWAKUMBUKA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KARATU

Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya akakibidhi baadhi ya vifaa,vilivyo tolewa na kampuni ya mawasiliano Tigo, kwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu, MHE. DADI HORACE KOLIMBA, ikiwa ni msaada kwa wahanga/waathirika wa mafuriko,wilayani Karatu.

Na Mwandishi Wetu.

Kampuni ya Mawasiliano Nchini Tigo Tanzania imetoa msaada wa vifaa na bidhaa zenye thamani ya  zaidi ya shilingi Milioni 10 kwa waathirika wa Mafuriko Wilayani Karatu , Msaada huo umewasilishwa na wafanyakazi wa Tigo kwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu kwa lengo la kuwafikia kiurahisi waathirika wa Mafuriko hayo.

Bi. Amina Mohamed Mkazi wa Karatu ambaye ni mmoja wa  waathirika wa Mafuriko akiishukuru kampuni ya  Tigo kwa msaada huo na KUOMBA Serikali iwasaidie kutoa maji kwani waathirika wanaangaika.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!