Home Kitaifa TIGO WAMWAGA SIMU ZA MKOPO KWA WATEJA WAO , MAADHIMISHO YA WIKI...

TIGO WAMWAGA SIMU ZA MKOPO KWA WATEJA WAO , MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA

Na Mwandishi Wetu.

Mkurugenzi Uendeshaji, Tigo Pesa Bw. Arnold Ngarashi, akimpa mteja elimu kuhusu huduma ya simu za mkopo, katika wiki ya maadhimisho ya huduma za kifedha, Ruandanzovwe, Mkoani Mbeya. Maadhimisho hayo yanalenga kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya huduma rasmi za Fedha pamoja na kuongeza mchango wa Sekta ya Fedha.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!