Shirika la umeme Tanesco limetoa taarifa kuhusu hutilafu kwenye mfumo wa gridi ya taifa.
Taarifa hiyo imetolewa baada ya kukosekana kwa huduma ya umeme kwa baadhi ya maeneo kuanzia majira ya saa 8:22 usiku
Aidha wamesema waataalamu wao wanaendelea na jitihada za kurejesha huduma, Shirika linaomba uvumilivu wateja wake katika kipindi hiki ambacho huduma ya umeme inakosekana