Tag: Pwani
WATU WATATU WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI PWANI.
Watu watatu wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na garindogo aina ya toyota alphard iliyotokea katika kijiji cha Mbwembwe...