Tag: Kilimanjaro
UONGOZI WA HOSPITALI YA MAWEZI WATAKIWA UJITAZAME UPYA KATIKA UWAJIBIKAJI
Na.WAF,Kilimanjaro
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Mawenzi Mkoani Kilimanjaro kujitazama upya katika usimamizi na uwajibikaji...