Shule ya Mumtaaz iliyopo jijini Mwanza Kata Buhongwa imesifika Kutokana na Taaluma mzuri ambayo imekuwa ikitolewa Shuleni hapo, hayo yamebainishwa na Mwalimu Mkuu wa Shule iyo Deogratius Renatus alipokuwa akiwasilisha Taarifa Kwa Mgeni Rasmi kwenye Mahafari Shuleni hapo
Renatus amesema Shule iyo Ina wafanyakazi 112 kati yao 53 ni walimu na 60 ni watumishi wasio walimu,Shule Ina usafiri wa wanafunzi wakutwa wanaoishi maeneo ya Mbali na Shule,hii inasaidia kuwahisha wanafunzi Shuleni na kuongeza usalama wa wanafunzi wakati wa kuja Shuleni na kurudi Nyumbani pia inatoa fursa Kwa wazazi na walezi wanaoishi Mbali na Shule ilipo kuweza kuwaleta watoto wao wasome Shule ya Mumtaaz
Kutokana na upungufu, uzoefu na umaili wa walimu na wanafunzi wote na USHIRIKIANO Mwema wa Mwajiri, wanafunzi wetu out wamekuwa Vizuri katika Mitihani Mbalimbali ikiwemo ya ndani ya Shule ujirani Mwema Pamoja na Kitaifa ambayo tumekuwa tukifanya na kuwezesha Shule kupata Matokeo Mazuri
Aidha Ubora wa Elimu itolewayo katika Shule ya Mumtaaz kupitia historia Yako tangu ilipoanza kutoa Elimu wanafunzi wameonekana kuimalika zaidi kitaaluma ifuatayo ni taarifa fupi ya Matokeo ya Kitaifa 2018 wahitimu 29 wilaya 3/18 Mkoa 11/197 kitaifa 25/6726 wasitani 325/724 Mwaka 2019 wahitimu 42 wilaya 3/89 Mkoa 14/756 Mwaka 2020 wahitimu 78 wilaya 1/90 Mkoa 1/777 Mwaka 2021 wahitimu 73 wilaya 6/92 Mkoa 11/843 Mwaka 2022 wahitimu 133 wilaya 85/9929 kitaifa 25/6726 wasitani 223.1724 daraja A kitaifa 85/9929 wasitani 211.7145 daraja A 9/10659 wasitani 234.9744 daraja A kitaifa 78/11909 wasitani 255.1644 daraja A wasitani 29.120.4 daraja
Lakini pia nipende kutumia fursa hii kuwashukuru Shule ya Mumtaaz Kwa kuwalea watoto wenu Ili wapate Elimu Bora asanteni Kwa nidhamu Nzuri mliyonayo Naishukuru Bodi ya Shule Kwa ujumla wao,kamati ya Tahaluma na wafanyakazi wote Kwa jitihada zao za hali na Mali kuhakikisha kuwa Mahafari yanafanyika na Shule na Shule inaendelea kusonga mbele.