Home Michezo Shabiki wa Timu ya Simba atumia ‘SIMBA Day’ kutembelea Zahanati

Shabiki wa Timu ya Simba atumia ‘SIMBA Day’ kutembelea Zahanati

Hii ikiwa ni siku ya kusherekea siku ya Simba (Simba Day) ambayo Kwa Mwaka huu imeadhimishwa Tarehe 6 Hange Masalu ametumia Siku hii ya Simba Day kutembelea Zahanati inayojengwa na Mfuko wa Tasaf Pamoja na Nguvu za Mhe Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Angelina Mabula.

Lakini pia na Mchango wake yeye kama Mwenyekiti wa Chama Lengo ni kuhakikisha kwamba chama kinasimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2020-2025 inatekelezwa Kwa kishindo na kujipanga kuingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaaa Chama hicho kikiwa kifua mbele.

Akizungumza Bahada ya ukaguzi wa Jengo hilo Mwenyekiti wa Ccm Kata ya Kitangiri amesema Mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt Angelina Mabula Alitoa Fedha za kuanzisha Ujenzi huo Naye, Mwenyekiti huyo Alitoa Tsh 160,000/ Ili kusupport kazi kubwa ya Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Kata Inayongozwa na Hange Masalu ipo Imara.

Hange alisema siku ya Uchimbaji wa Msingi wa Zahanati ya Lubda mtaa wa kitangiri kati jina Maarufu Uwanja wa Mzee wa Ndege Alisema Wameshirikiana Bega Kwa Bega na Mhe Mbunge Dkt. Angelina Mabula Alitoa Fedha za kuanzisha Ujenzi huo Tanzania.

Lakini pia tunamshukuru Mhe Rais Samia Suluhu Hassani kwa kutuletea Pesa kutumia Mfuko wa Tasaf ni Mama aliye na Upendo mkubwa kuhakikisha Watanzania wanapata Maendeleo lkn pia wanapata Huduma Muhimu Jambo ambalo halijawahi kutokea Nchini kwetu amewataka Watanzania kuwa na Imani na Chama Chao kwani Ndio Chama Imara Chenye Kuwajali Watanzania

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!