Home Kitaifa SERIKALI YA ZANZIBAR KUJENGA MADARASA MENGI ZAIDI, KUONGEZA UFANISI KATIKA UFUNDISHAJI

SERIKALI YA ZANZIBAR KUJENGA MADARASA MENGI ZAIDI, KUONGEZA UFANISI KATIKA UFUNDISHAJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema tumekusudia kuendelea kujenga madarasa ili kupunguza idadi ya wanafunzi kwa kila darasa iwe rahisi kwa walimu kufundisha vizuri.

Ametoa agizo kwa wizara ya Ardhi kuhakikisha skuli zote zinapatiwa hati miliki ya eneo la shule ili kuondokana na mizozo inayoweza kutokea siku za usoni.

Amesema hayo leo tarehe 23 Julai alipokagua na kuweka jiwe la msingi kwa madarasa mapya yaliyojengwa skuli ya Unguja Ukuu katika ziara ambayo ilianza Julai 16 kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo Mikoa mitatu ya Unguja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!