Home Kitaifa RC SENDIGA AKUTANA NA WAZEE WA RUKWA, AOMBA USHIRIKIANO Kitaifa RC SENDIGA AKUTANA NA WAZEE WA RUKWA, AOMBA USHIRIKIANO By Joseph Nelson - September 13, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sengida (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Tano Mwela nakala ya Miongozo ya Usimamizi wa Elimu leo mjini Sumbawanga kwenye hafla iliyohudhuriwa na Maafifa wa Elimu wilaya na kata ehemu ya Maafisa Elimu Wilaya na Kata wakifuatilia kikao cha uzinduzi wa miongozo ya usimamizi wa elimu leo mjini Sumbawanga.