Home Kimataifa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA JAMHURI YA...

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA JAMHURI YA KOREA MHE. YOON SUK YEOL, IKULU SEOUL NCHINI HUMO.

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol, Ikulu Seoul nchini humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul kwa ajili ya mazungumzo na kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Korea mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamojRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.a na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Jamhuri ya Korea iliyopo Jijini Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol kabla ya kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali baina ya nchi mbili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!