Home Kitaifa RAIS SAMIA ATEUA KATIBU MTENDAJI WA BASATA Kitaifa RAIS SAMIA ATEUA KATIBU MTENDAJI WA BASATA By Emmanuel PS - July 9, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt Kedmon Elisha Mapana kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt Mapana amechukua nafasi ya Bw. Godfrey Lebejo Mngereza ambaye alifariki dunia.