Home Kitaifa RAIS SAMIA AONGOZA MKUTANO WA ASASI YA ULINZI NA USALAMA (SADC-Organ) ZANZIBAR

RAIS SAMIA AONGOZA MKUTANO WA ASASI YA ULINZI NA USALAMA (SADC-Organ) ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Januari, 2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!