Home Kitaifa RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU LATRA Kitaifa RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU LATRA By Emmanuel PS - July 9, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Saidi Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA).