Home Kimataifa RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA MJI WA SERIKALI WA SEJONG

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTAWALA WA MJI WA SERIKALI WA SEJONG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe. Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe. Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024. Jiji hilo la Sejong ni Makao Makuu Mapya ya Korea Kusini na Jiji hilo lina mahusiano na Jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya Serikali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!