Home Kitaifa RAIS SAMIA KACHANGIA BILIONI 10.7 UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA...

RAIS SAMIA KACHANGIA BILIONI 10.7 UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA NJOMBE

Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maendeleo Mkoani Njombe. Akiwa Mkoani Njombe, Rais Samia Suluhu Hassan ametembelea na kukagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe inayojengwa kwa gharama ya shillingi bilioni 27.

Akiongea na vyombo vya habari, Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kiasi cha fedha shilingi Bilioni 10.7 katika kuchangia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe. Pamoja na hayo, ammemshukuru Rais Samia kwa kazi kubwa ya kuboresha sekta ya afya Nchini Tanzania.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!