Home Kitaifa RAIS DKT SAMIA, DKT MWINYI WAZINDUA HOTEL YA KITALII BAWE ZANZIBAR

RAIS DKT SAMIA, DKT MWINYI WAZINDUA HOTEL YA KITALII BAWE ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection Bw. Andrea Azzola wakati wa ufunguzi wa Hoteli Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ufunguzi wa Hoteli hiyo iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025.

Muonekano wa Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!