Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Msuya, aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ikulu Januari 3, 2023.
Aidha, Rais amemteua Mululi Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu ambapo awali alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu.