Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwemo watu wenye mahitaji maalumu , Wajane, Yatima ,Wazee na Masheikh katika Futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Idrissa Abdul-Wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 25 Machi 2024.