Home Kitaifa PM.MAJALIWA ASHIRIKI MBIO ZA HISANI PUGU

PM.MAJALIWA ASHIRIKI MBIO ZA HISANI PUGU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 18, 2024 ameshiriki kwenye Mbio za Hisani za Pugu (Pugu Marathon) za kuchangia Uendelezaji wa Kituo cha Hija kilichopo Pugu, msaada kwa watoto yatima na kuendeleza michezo. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo pia wameshiriki mbio hizo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!