Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya Mawasiliano Nchini Tigo Tanzania imeshiriki Msimu wa Sita wa Mbio Maarufu za SELOUS MARATHON zilizofanyika Leo , Agosti , 24 , 2024 Mkoani Morogoro. Kampuni hiyo imeshiriki mbio hizo kwa kutoa huduma mbalimbali za Kidigitali kwa Washiriki kabla, wakati na baada ya Mbio .