Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Mkoa, uhamisho wa wakuu wa mikoa na uteuzi wa Mkuu wa Wilaya.
Uapisho wa Mkuu wa Mkoa utafanyika tarehe 24/05/2023 saa 10:00 jioni katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.