Home Magazeti OPERESHENI WILAYA YA UBUNGO,SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNI 16, 2024

OPERESHENI WILAYA YA UBUNGO,SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNI 16, 2024

Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko, amewataka wakazi wote wa wilaya hiyo kushirikiana na serikali katika kutokomeza biashara ya ukahaba katika maeneo yao. Akizungumza wakati wa operesheni hiyo alisema, “Tunachokilenga hapa ni kulinda maadili yetu, desturi, mila na tamaduni zetu kama Watanzania. Hatutaki kuona tunavunja sheria lakini pia maadili yetu. Sheria za nchi haziruhusu biashara ya umalaya/ukahaba lakini pia imani zetu hazituruhusu hiki kinachoendelea.”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!