Home Makala MTEGO ULIOMNASA HOUSE BOY

MTEGO ULIOMNASA HOUSE BOY

Jina langu ni Sam, nilioana na mke wangu kwa miaka sita iliyopita na tukazaa mtoto mmoja wa kiume ambaye alibadilisha maisha yetu kwa kiasi kikubwa, huku akidumisha furaha na upendo katika ndoa yetu. 

Ndani ya familia yetu, baada ya miaka mingi ya kusumbuliwa na wasichana wa kazi, tuliamua kujaribu kuwa na mvulana wa kazi kwa sababu wasichana ambao tuliwaleta kila mara walikuwa wakitoroka nyumbani kwetu siku chache baada ya kuanza kazi.

Ufanyaji kazi wa wavulana tuliowaleta, haukuwa mbaya, wengi wao walikuwa watiifu na wachapakazi, hivyo tuliamua kufanya nao kazi kwa muda mrefu ndani ya nyumbani yetu.

Siku zote mimi na mke wangu tulikuwa tukienda kazini kwetu asubuhi na kurejea usiku, kwa hiyo tulihitaji mtu wa kukaa nyumbani na mtoto wetu.

Kuna kipindi tulipata mvulana wa kazi (house boy) jina lake Jamal, alikuwa mfanyakazi wangu niliyempenda sana. Alikuwa akiamka mapema na kuandaa kifungua kinywa, kufua nguo na kumtunza mtoto wangu mwenye umri wa miaka mitano.

Kijana huyu alikuwa na urafiki mzuri na mke wangu jambo ambalo nililipenda kwa sababu sote tulivutiwa na kazi yake.

Sasa siku moja nilitafuta shati langu chumbani sikuliona hata baada ya kumuuliza mke wangu, naye alisema hajaliona. Kisha nikafikiria kwenda kuangalia chumbani kwa Jamal kwani yeye ndiye alikuwa anatufulia nguo na kuzipiga pasi.

Niliingia chumbani kwake wakati yeye alikuwa jikoni anatengeneza kifungua kinywa, niliangalia kitandani mwake na nilishangaa sana baada ya kukutana na sidiria ya mke wangu kwenye blanketi yake.

Nilidhani macho yangu yananidanganya lakini nilipotazama kwa karibu, hakika ilikuwa ni nguo ya ndani ya mke wangu. Wazo langu la kwanza lilikuwa ni kwenda kuwakabili wawili hao lakini sikuwa na ushahidi na hivyo wangekana.

Ila mke wangu alikuwa akifua nguo zake za ndani na kuzitundika bafuni kwetu kwa hivyo kupata sidiria yake kwenye chumba cha house boy ilikuwa ni hali ya kushangaza sana.

Harakaharaka nikachukua shati lingine na kutoka nje ya nyumba ili niweze kufikiria vizuri juu ya jambo hilo, lakini kitu ambacho nilijua kwa hakika ni kwamba mke wangu na house boy walikuwa na lao jambo. 

Nilikwenda kazini asubuhi yake nikiwa na msongo wa mawazo sana. Nilimshirikisha mwenzangu kazini suala hilo, huyu rafiki yangu aliniambia ukweli ambao uliniuma ila ulinisaidia pia.

Kaka, hao wawili wamekuwa wakifanya mapenzi kwa siri! Huko ni kukosa heshima kabisa! unapaswa kuwasiliana na Kiwanga Doctors ili wakusaidie kuwakamata tena kipindi wakifanya yao,” aliniambia.

Basi nilifanyia kazi ushaurii huo. Baada ya siku moja, nilirudi nyumbani jioni hiyo na kujifanya kila kitu kiko sawa. Mimi na mke wangu tulilala saa 1 usiku na nililala haraka kutokana na uchovu na msongo wa mawazo niliokuwa nao .

Ila kesho yake majira ya saa 1 asubuhi, niliamshwa na mayowe kutoka kwenye chumba cha house boy na nilipoingia chumbani kwake, nilimkuta mke wangu ameingia chumbani kwake na wote wawili walikuwa uchi na wamekwama kwenye sehemu zao za siri wakifanya ngono haramu ndani ya nyumba yangu.

Nilikasirika sana na niliwakemea kwa usaliti wao. Walikuwa na maumivu makali sana ambayo nilitaka kuyatumia kuwafundisha somo muhimu la maisha.  Ila baadaye Kiwanga Doctors waliwafungua na wote wawili wakaomba msamaha kutokana na jambo hilo.

Binafsi niliamua kumsamehe mke wangu kwa sababu bado nilimpenda lakini nilimfukuza house boy kwa kunidharau.

Ikiwa nawe unahitaji huduma kama hiyo, basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba za simu +255763926750 au +254769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com kwa maelezo zaidi.

Mwisho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!