Home Makala MIKASA MIWILI AMBAYO SITOISAHAU MAISHANI MWANGU.

MIKASA MIWILI AMBAYO SITOISAHAU MAISHANI MWANGU.

Naitwa Kelvin kutokea Masai Mara. Miaka miwili iliyopita, nilikuwa nimeajiriwa na kampuni ya utalii. Nilikuwa nafanya kazi vizuri hadi wakubwa wa kazi wakafurahishwa na utendaji kazi na kusema kijana ni mchapa kazi, “future yake ni nzuri sana“.

Mshahara ulikuwa mdogo lakini mimi niliendelea kukomaa na kazi nikiwa na malengo yangu ya kuja kufungua kampuni yangu ya utalii na kutoa ajira kwa watu wengine.

Hata hivyo, ilifika kipindi mambo yakabadilika na visa vikawa vingi ofisini. Ikafikia hatua hadi nazushiwa kesi ambazo mimi sijahusika, kumbe ni maneno ya watu wenye wivu ambao hawakupenda nilivyokuwa nakubalika ofisini.

Ilifikia kipindi kidogo nipelekwe polisi kitu kilichopelekea nikaachishwa kazi moja kwa moja. Mwokozi wangu ikawa ni pesa kidogo nilizokuwa nahifadhi kutoka kwenye mshahara wangu.

Nikaamua kununua pikipiki yangu ili niwe nafanya kazi ya Bodaboda. Siku za mwazo kazi ilienda vizuri nikawa napata wateja wengi ila baada ya muda changamoto zikawa ni nyingi sana.

Mara nyingi nikawa nawaza kuacha kabisa hiyo kazi ya kuendesha pikipiki ila ndio siwezi kuacha bila kutengeneza msingi mwingine wa biashara ambao utakuwa unaniingizia pesa. Nina misukosuko mingi sana. Nilinusurika kifo kwenye  ajali moja ambayo sikuamini.

Siku moja narudi nyumbani kupumzika mida ya mchana sasa barabara kuu gari moja kubwa linatoka nyuma yangu na jingine linatoka mbele, magari yote yanataka kunibananisha katikati.

Nilivyoona unaenda kuwa msala nikaruka nikaacha pikipiki yenyewe ambayo ilisagwa sagwa na mimi nikajitupa kwenye mtaro ambayo ndio ilikuwa pona yangu kwa siku hiyo.

Kuanzia tukio hilo nikawa muoga mkubwa sana maana nilipata majeraha kwenye miguu na mikono ilichubuka chubuka. Nilikaa ndani kwa wiki tatu huku nikijiuguza majeraha yangu ambayo nilipata katika ajali ile.

Nikiwa kwenye mitandao ya kijamii, nilipata habari kuhusu Kiwanga Doctors kuwa wanawasaidia watu kupata kazi. Nilifunga safari na kufika ofisini kwao ambapo niliwaeleza mikasa yangu.

Walinipatia dawa zao na kuitazama nyota yangu kisha kuniambia nyota yangu ya mafanikio bado ipo katika shughuli za utalii hivyo niendelee kujikita katika eneo hilo. Basi nilianza kuomba kazi katika kampuni mbalimbali za utalii.

Hazikupita siku nyingi nilipigiwa simu ya kuitwa kazini, katika kampuni hii mpya nilipata mshahara mnono sana pamoja na kuteuliwa kuwa Meneja kutokana na uzoefu wangu katika masuala ya kuongoza watalii.

Huu ni mwaka wa tano nafanya kazi na nalipwa vizuru na nimeweza kuazisha biashara zangu nyingine.

Iwapo inahitaji huduma kama hiyo, basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965 au tembelea tovuti yao ambayo ni www.kiwangadoctors.com.

Mwisho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!