Home Kitaifa FRANCIS MASANJA CHICHI AMEWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUMUUNGA MKONO MHE RAIS SAMIA

FRANCIS MASANJA CHICHI AMEWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUMUUNGA MKONO MHE RAIS SAMIA

Diwani mstaafu wa Kata ya Somangira Mhe. Francis Masanja Chichi amewataka wananchi kuendelea kumuunga mkono Mhe Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya.

ameyasema hayo kwenye mahojiano na waandishi wa habari yaliyofanyika Kata ya Somangira Tarafa ya Geza Juu Wilaya ya Kigamboni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!