Home Makala MENEJA ALINIFUKUZA , HAKUJUA MIMI NI HATARI

MENEJA ALINIFUKUZA , HAKUJUA MIMI NI HATARI

Naitwa Judithi kutokea Nairobi nchini Kenya, miezi sita iliyopita, nilianza safari ya mabadiliko maishani kwa kuhama kutoka kwenye kazi yangu ya zamani na kwenda nyingine ambayo nilikuwa na matumaini makubwa nayo.

Uamuzi huu ulitokana na hamu ya kupata changamoto mpya ili kuwa na ukuaji katika kazi yangu katika maeneno mbalimbali hasa upande wa kiuchumi.

Licha ya kuwa mdogo, kupata nafasi kama mfanyakazi wa kitengo cha mawasiliano katika hoteli ya kifahari ya nyota tano, ilikuwa hatua kubwa kwangu hasa upande wa kupata uhuru wa kifedha.

Hata hivyo, msisimko wangu wa awali ulibadilika na kuwa mfadhaiko nilipojikuta nikikabiliana na mambo yasiyokubalika kutoka kwa Meneja wa hoteli ambayo nilikuwa naifanyia kazi.

Wiki mbili tu baada ya majukumu yangu mapya, Meneja alianza kutembelea ofisi yangu mara kwa mara kwa madai ya mazungumzo ya kawaida ambayo yanalenga kuboresha kazi lakini akavuka mstari kwa kunigusa sehemu ambayo sio sawa.

Nikiwa nimeshtuka na kuchukizwa, nilikataa kitendo chake kwa ajili ya usalama wa kazi. Hata hivyo, kukataa kwangu kulinigharimu maana alipanga mipango ya kulipiza kisasi.

Meneja alibuni mashtaka ya uongo na kushawishi nifukuzwe kazi. Licha ya juhudi na majaribio yangu ya kujitetea, nilijikuta nimefukuzwa kazi kwa madai ya matumizi mabaya ya ofisi.

Nikiwa nimekata tamaa, nilimweleza rafiki yangu mkasa huo, mara moja alinielekeza kwa Kiwanga Doctors, wataalamu wa tiba asilia ambao wamewasaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki.

Kutokana sikuwa na chochote cha kupoteza, nilifika kwa Kiwanga Doctors ili kupata suluhisho la shida yangu. Kupitia tiba zao, walifanya mambo ambayo yalimtesa Meneja hadi akakubali kosa lake na kuomba nirudishwe kazini.

Kama walivyosema, ndani ya saa 24, Meneja huyo alisalimu amri kutokana na kusumbuliwa na misukosuko isiyoelezeka na magonjwa katika familia yake.

Hivyo basi niliweka masharti ya maridhiano ili aweze kuondokana na shida hizo, moja ya masharti ni pamoja na kujiuzulu, jambo ambalo alitekeleza kwa muda muafaka na punde tu niliweza kurejeshwa kazi tena katika nafasi yangu ile ile ya mwanzo.

Nawaomba wengine wanaokabiliwa na changamoto zinazofanana na hizo kutafuta msaada kutoka kwa Kiwanga Doctors ambao wanapatikana kwa namba za simu +255763926750 au +254769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com kwa maelezo zaidi.

Mwisho.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!