Home Kitaifa MDAU MAENDELEO ENOCK KOOLA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO

MDAU MAENDELEO ENOCK KOOLA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO

Na Ashrack Miraji Kilimanjaro

Mdau wa Maendeleo, Enock Koola, amekabidhi Vifaa vya michezo alivyoahidi alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali Shule ya Msingi na Sekondari Royal, iliyopo kata ya Njia Panda, Jimbo la Vunjo, Mkoani Kilimanjaro.

Koola alisema, “Nimeona ni muhimu kuwapatia vifaa hivi ili muweze kushiriki michezo mbalimbali hapa shuleni. Michezo inatujengea afya ya akili katika masomo yetu na kuleta mahusiano mazuri baina ya wanafunzi.”

Aidha, Koola aliongeza kuwa, “Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapenda sana wanafunzi wa Taifa hili, hasa wa Jimbo la Vunjo. Tunamuona Mhe. Rais akisisitiza na kutoa hamasa juu ya michezo kwa timu zetu za taifa. Kama mdau wa maendeleo katika jimbo hili, atuna budi kumuunga mkono Mama Yetu kipenzi, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!