Home Kitaifa Mbunge wa Viti Maalumu amempongeza Michael Masanja kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti CCM...

Mbunge wa Viti Maalumu amempongeza Michael Masanja kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti CCM Mwanza

Na Neema Kandoro, Mwanza

Mbunge wa Viti Maalumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mwanza amempongeza Kwa ushindi aliopata Mwenyekiti Mpya Maiko Lusinge Maarufu kwa jina la SMART Kuwa amelenga kuimarisha Chama hicho kikongwe Nchini

Alisema hayo baada ya ushindi wa kura 784 kati ya1111 kuwashinda wagombea wenzake waliopata kura 299 kwa pamoja huku kura 28 zikiharibika.

Akizungumza Mary Masanja Mbunge wa Viti Maalumu alisema kuwa Chama hicho kimepata mtu sahihi katika nafasi ya Kiti hicho mwenye Busara, hekima ambae ameweza kujipambanua Kutokana na nafasi aliyoishikilia ya uwenyekiti wa Chama wilayani Misungwi

Alisema Kwa umri alionao na Msimamo usioyumba ataleta heshima katika Chama hicho kwenye eneo hilo ambalo ni Ngome ya Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa ambapo utoa ushindi wa kiongozi hapa nchini Kutokana na kuwa na Idadi kubwa ya wapiga kura.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!