Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) wakiwa katika kikao kazi na wataalamu kutoka Wizara hizo wakiangazia namna ya kukuza Uwekezaji, Viwanda, Biashara na Kilimo, jijini Dodoma.