Home Kitaifa MAONYESHO YA UJENZI WAUZA VIFAA VYA UJENZI, WAHANDISI WACHANGAMKIA FURSA MIRADI YA...

MAONYESHO YA UJENZI WAUZA VIFAA VYA UJENZI, WAHANDISI WACHANGAMKIA FURSA MIRADI YA SERIKALI

Na Magrethy Katengu

.Serikali imesema itahakikisha miradi ya setikali inawapa wahandisi na wakandarasi wazawa ili kusaidia kupunguza gharama wanayotumia kulipa wageni zinabaki na kukuza uchumi wa nchi

.
Ameyasema hayo Leo Jijini Dar es salaam Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godifrey Kasekenya wakatinakifungua Maonyesho ya wadau ujenzi ikiwemo wauza vifaa vya ujenzi ambapo amewasisitiza kuwa Serikali inathamini wanachokifanya pia wanawapa wazawa kipaumbele katika miradi ya kimkakati lakini baadhi yao hukosa sifa za kupata fura hiyo kutoka a na kukosa. vifaa vya kisasa hivyo kupewa tenda ndogo ndogo .
.”
”Tunatambua ya kwamba tuna kila sababu ya wazzwa kufanya miradi mikubwa ya Serikali kwani kufanya hivyo tunawasaidia wahandisi, wafanyabiashara, na wakandarasi wetu hata vijana wetu wanaojifunza ili ili kukuza uchumi wetu hivyo nasisitiza kuwa wamoja kutatua changamoto zinazowakabili ili msikose tenda za miradi mikubwa ya serikali tukatafuta watu kutoka makampuni ya nje’ amesema Naibu Waziri.

Hata hivyo amesema serikali inategemea katika miaka hii mitano mngejipanga kwa kukaa pomoja wahandisi,wafanyabiashara na wakandarasi kutathimini vizuri juu kama wazawa wangepaswa kuwa. vinara wa kufanya kazi hizo. kubwa na kuifanya Tanzania kuwa ya ujenzi hivyo ni budi watenge muda kwenda nje ya nchi kupata ujuzi mkubwa zaidi ili kusaidia kupunguza gharama ya kuchukuwa wazabuni kutoka nje ya nchi.

Aidha amewahakikishia kuwa sekta ya ujenzi ina fursa kubwa kwa Wafanyabiashara wauza vifaa vya ujenzi na wahandisi kwa Taifa kwa. kujenga Barbara, viwanja vya ndege, nyumba kwa teknolojia ya kisasa zaisi na kuifanya Tanzania kuwa na Muonekano wa kipekee na kuvutia wawekezaji na watalii.

Naye Mhandisi wa bodi ya Wahandisi Menye Manga amesema bidhaa zinazouzwa zinatokana na mchango wa wahandisi hivyo serikali lazima ihalikishe bidhaa hizo ni Bora na salama zaidi kwa watumiaji
.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!