Home Kitaifa MAKONDA AMTAKA MKUU WA MKOA TANGA AWACHUKULIE SHERIA WATUMISHI WAZEMBE

MAKONDA AMTAKA MKUU WA MKOA TANGA AWACHUKULIE SHERIA WATUMISHI WAZEMBE

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa , Itikadi,Uenezi na Mafunzo Paul Makonda amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Tanga pindi anapoubaini uzembe wa aina yeyote Kwa Watendaji wa Shirika la Umeme TANESCO ale nao sahani moja ili wachukuliwe hatua mbalimbali za Kisheria.

Makonda ameyasema hayo mara Baada ya kukutana na Wananchi Wilayani Muheza Mkoani humo Kwa lengo la kusikiliza kero Zao na kuzipatia ufumbuzi sambamba na kutekeleza ilani ya CCM

Wakati huo huo amewataka Wananchi hao waendelee kumuamini Rais Dr Samia Suluhu Hassan na Naib Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dr Doto Biteko Katika utendaji kazi wao wa kuhakikisha Nchi inaepukana na changamoto ya Umeme.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!