Home Kitaifa MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. PHILIP...

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. PHILIP MPANGO AWASILI MKOA WA MBEYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya leo tarehe 11 Septemba 2022. Hapo kesho tarehe 12 Sepetemba 2022 Makamu wa Rais anatarajiwa kufungua Mkutano wa 36 wa Viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 12-14 Septemba 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!