Home Kitaifa MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KAGERA

MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KAGERA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera. Leo Oktoba 13, 2022

Makamu wa Rais ameambatana na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango na anatarajia kushiriki Maadhimisho ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru 2022 yatakayofanyika tarehe 14 Oktoba 2022 katika uwanja wa Kaitaba – Bukoba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!