Home Kitaifa MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU Kitaifa MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU By Joseph Nelson - April 7, 2023 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa kuu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma leo tarehe 07 Aprili 2023.