Home Kitaifa MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA KIUCHUMI CCM PWANI

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HARAMBEE UJENZI WA JENGO LA KIUCHUMI CCM PWANI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani ameongoza Hafla ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika Hyatt Regency Hotel Jijini Dar es Salaam. Juni 29, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!