Home Kitaifa MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WATAALAM WA BIOTECHNOLOGY KUTOKA CUBA Kitaifa MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WATAALAM WA BIOTECHNOLOGY KUTOKA CUBA By Joseph Nelson - June 8, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na wajumbe wa watalaam kutoka kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni hiyo Dkt. David Curbelo. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Juni 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja wajumbe wa watalaam kutoka kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni hiyo Dkt. David Curbelo (wa nne kutoka kushoto) mara baada ya Mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Juni 2024. Wengine ni Ujumbe wa Tanzania akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. Humphrey Polepole (watatu kutoka kushoto) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba Dkt. David Curbelo mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Juni 2024