Home Kimataifa MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS AfDB

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS AfDB

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya Mazungumzo baina yao yaliofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya AfDB Jijini Abidjan nchini Ivory Coast
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akimkabidhi zawadi ya picha ya moja ya vivutio vya utalii vinavyopatikana Zanzibar Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya Mazungumzo baina yao yaliofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya AfDB Jijini Abidjan nchini Ivory Coast
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina na ujumbe wake pamoja na wawakilishi wa Tanzania katika Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika 2022 mara baada ya Mazungumzo baina yao yaliofanyika katika katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya AfDB Jijini Abidjan nchini Ivory Coast

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!