Home Kitaifa MAJALIWA AWAKUMBUKA MAKATIBU CCM KATA RUANGWA

MAJALIWA AWAKUMBUKA MAKATIBU CCM KATA RUANGWA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Disemba 31, 2022 amemkabidhi Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ruangwa Ibrahim Ndoro pikipiki 25 kwa ajili Makatibu kata wa CCM katika kata zote 22 na Jumuiya za CCM ngazi ya Wilaya ambazo ni UVCCM, UWT na Wazazi.

Akizungumza baada ya kukabidhi pikipiki hizo Ndugu Majaliwa amewataka kuzitumia kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM wilayani Ruangwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!